1. Events
  2. Online and In-Person
Today

Misingi ya Haki Mayumba – Kiswahili

Online and In-Person 4934 E. Broadway Blvd, Tucson, AZ

Je, wewe ni mpangaji, mnunuzi wa nyumba, mtoaji wa makazi au mkopeshaji? Usawa wa makazi huathiri mahali ambapo kila mtu anaweza kuishi, kufanya kazi na kuigiliana katika jumuiya yako. Katika warsha hii, utajifunza kuhusu misingi ya usawa wa makazi ikiwa ni pamoja na Sheria ya Usawa wa Makazi, kategoria saba zinazolindwa na sheria, kilichopigwa marufuku, ishara zinazowezekana za ubaguzi na zaidi. Aidha, ikiwa unafikiri umepitia (au mteja wako amepitia) ubaguzi haramu katika makazi, jifunze jinsi ya kuwasilisha lalamiko kwa SERI. Utapokea cheti kwa kuhudhuria warsha nzima.

Bila Malipo (kujisajili kunahitajika)