FEO120038_Workshop_Graphics_Basics_Rectangle_SWA

Misingi ya Haki Mayumba – Kiswahili

Je wewe ni mpangaji mnunuzi wa nyumba mtoaji wa makazi au mkopeshaji Usawa wa makazi huathiri mahali ambapo kila mtu anaweza kuishi kufanya kazi na kuigiliana katika jumuiya yako Katika warsha hii utajifunza kuhusu misingi ya usawa wa makazi ikiwa ni pamoja na Sheria ya Usawa wa Makazi kategoria saba zinazolindwa na sheria kilichopigwa...