SERI IMETUZWA 125K ZA KUKABILIANA NA UBAGUZI WA NYUMBA TUCSON
Tucson AZ Kwa mwaka wa nne mfululizo Taasisi ya Utafiti wa Mazingira ya Sonora SERI imetuzwa kiasi cha Dola ili kukabiliana na ubaguzi wa nyumba katika eneo la Tucson Metropolitan chini ya Mpango wa Miradi ya Usawa wa Nyumba FHIP Fair Housing Initiatives Program wa Idara ya Nyumba na Maendeleo ya Miji ya Marekani...