Loading Events

« All Events

  • This event has passed.

Misingi ya Haki Mayumba – Kiswahili

Friday, December 17, 2021 @ 1:00 pm - 2:00 pm

Bila Malipo (kujisajili kunahitajika)
FEO120038_Workshop_Graphics_Basics_Rectangle_SWA

Je, wewe ni mpangaji, mnunuzi wa nyumba, mtoaji wa makazi au mkopeshaji? Usawa wa makazi huathiri mahali ambapo kila mtu anaweza kuishi, kufanya kazi na kuigiliana katika jumuiya yako. Katika warsha hii, utajifunza kuhusu misingi ya usawa wa makazi ikiwa ni pamoja na Sheria ya Usawa wa Makazi, kategoria saba zinazolindwa na sheria, kilichopigwa marufuku, ishara zinazowezekana za ubaguzi na zaidi. Aidha, ikiwa unafikiri umepitia (au mteja wako amepitia) ubaguzi haramu katika makazi, jifunze jinsi ya kuwasilisha lalamiko kwa SERI. Utapokea cheti kwa kuhudhuria warsha nzima. Tafadhali jisajili hapa https://us02web.zoom.us/meeting/register/tZIod-yhpzwuHtbpi8yg_-_PWodeXHtoD8C3

Eneo la Warsha (hiari):

Arizona Language and Transportation Services, Inc.
4934 E. Broadway Blvd, Tucson, AZ 85711

Sisi ni Biashara Inayotumia Mawasiliano ya Relay ya Arizona.

Fair Housing Partners Logos

 

 

 

 

 

Nyenzo hii inategemea kazi inayoungwa mkono na Idara ya Makazi na Maendeleo ya Miji (HUD) chini ya Ufadhili wa FHIP EOI FEOI20038 na FEO2100215. Maoni yoyote, utambuzi na mahitimisho au mapendekezo yaliyotolewa katika nyenzo hii ni ya waandishi na sio lazima kuwa yanaakisi mitazamo ya HUD.

Details

Date:
Friday, December 17, 2021
Time:
1:00 pm - 2:00 pm
Cost:
Bila Malipo (kujisajili kunahitajika)
Event Category:
Event Tags:
,

Venue

Online and In-Person
4934 E. Broadway Blvd
Tucson, AZ 85711 United States
+ Google Map
Phone:
(520) 232-2280
View Venue Website